Skip to main content

Magaidi wa Kiislam...


Ahsante kwa kuichagua Blog hii.....natumaini umeanza Wiki yako vama.

Post ya jana inaweza kukufanya udhanie kuwa naunga mkono Mauaji ya hao Waislamu(if you are that thick). Ukweli ni kuwa tangu 7/7 London Bombing sina Imani wala huruma na Waislam wa UK.



Victoria line au Piccadilly ndio lines zangu then nateremkanpale KingX......siku hiyo ya Saba-saba niliamua kutega Kipindi cha asubuhi kilichokuwa kinaanza saa 9:30am.....ningetoka muda wangu wa kawaida labda leo nisingekuwa hapa.



Nilipoona Waislamu nahofia kuwa wanaeza jilipua.....miezi michache ya 2005 baada ya 7/7 nilikuwa nahama behewa(kwenye Tube) su nasubiri the next one ikiwa kuna mkimama au mkibaba alievaa Kiislam au mwenye asili ya Waislam kama vile Wasomali, Wapakistan n.k.



Mpaka leo karibu miaka 10 naishi masaa 8 driving kutoka London na Dakika 45 kwa ndege (Dar to Moshi....pata picha)bado naogopa kujimix na hao majamaa(wapo kila kona).



Baada ya kilichotokea Tunisia hakika kinaongeza hofu na chuki inakua dhidi ya Waislam. Sijali kama kuna Waislam wa kweli au wa uongo au wale wenye Msimamo Mkali kama Isis. Wote ni Waislamu tu.


Tangu Waislamu "wa kweli" hamfanyi lolote kuonyesha kuwa hamkubaliani na Magaidi mie nawaweka wote kwenye kundi moja.


Kama Boris(Meya wa London)alivyosema.....hakuna kusensa Uislamu tunapozungumzia Magaidi.....kama hamtaki kujumuishwa na Waislamu Magaidi basi do something.


Tangazeni vita dhidi yao.....tokeni na muandamane kupinga vutendo vyao viovu ambavyo "vinaharibu" value ya Imani yenu ya Dini.


Nawajua Waislamu wa Kitanzania ambao kisiri huwa wanaunga mkono lolote linalofanywa na Magaidi.


Weka Siasa ya kupigania Mafuta pembeni......wanachokifanya Magaidi sio Siasa.



Baba yangu alikuwa Musilamu......nimelelewa Kiislamu lakini sasa naanza kuchukia Waislam......siwaogopi tena ila naanza kujenga Chuki.

Babai.

Comments

Topic hizi tamba...

Weusi wa Kwapa na Vipele Makalioni....

Well Weupe huwa hawawi na weusi kwapani bali Unjano au Ukahawia....wale wenye nywele nyeusi sasa ni another case. Kuhusu Vipele makalioni havina Ubaguzi, raha ya vipele vile ni kwamba havionekani kwa Macho....utajua unavyo kwa kujipapasa, au gusa ngozi yako....inakuwa kama ina "mikwaruzo" wajua ile nanihii ya kupiga Msasa mbao? Yep ndio feels kama hivyo! Usione haya sio Ugonjwa na wala sio Tatizo kiafya, ni mambo ya Urembo tu na yawapata watu mbali mbali Ulimwenguni.....kama urembo sio issue kwako basi baki na Mapele yako na uyafurahie! Mimi nilikuwa nayo na siyapendi na ndio maana nataka nikupe mbinu ya "mapambano" ili uwage na Makalio "smooth"....Sasa hapa nikuambie kuhusu Vipele Makalioni au weusi wa Kwapa?.....Yote? Hamna shida twende in to them*. Vipele: Sijui inasababishwa na nini(sio mtaalam mie) ila nahisi ni kutoijali ngozi ya sehemu hiyo ndio inachangia....huisugui ukioga, huilainishi kwa mafuta, unavaa chupi za Mpira badala ya Pamba, huifanyishi

Kuachisha mtoto Kunyonya!

Heeeeeelp!!! Ka Binti kangu kana Mwaka na Nusu (Miezi18) lakini kamo tu, hata dalili ya kuacha hakana....Mie nimechoka kunyonyesha, nimechoka kuwa Mkubwa hapa Chini ya Kidevu bana! Babuu aliacha mwenyewe ghafla, yaani siku hiyo kaamka tu akagoma kunyonya....Mwanamke bembeleza, lazimisha mtoto wapi!!....alikuwa na Mwaka Moja na Mwezi(Miezi 13) na niliteseka Kihisia na Kimwili kwa Wiki nzima. Kihisia: Haina Uzungu hii, ila nililia sana....kwanini Mwanangu hataki kuwa karibu na mimi? (maana kunyonya kwake kulikuwa kunanipa ukaribu na Mwanangu). Nilipanga kumnyonyesha mpaka Mwaka na nusu (Miezi 18), kwanini Kanigaya(Susa) kabla sijawa tayari?!!! Kimwili: Matiti yanauma bwana asikuambie Mutu! Yalivimba(Jaa maziwa)....the more nakamua ndio yanajaa zaidi.....kamata simu Pigia Mama, Mama akasema "usiyakamue kwani ukikamua mwili wako unahisi mtoto anataka kunyonya zaidi so yanajitengeneza kwa Kasi ya ajabu". Kaongeza: "

Mashoga/Wasenge "wanatuibia" Waume/Wapenzi wetu....

...kwanza kabisa napenda utambue kuwa hakuna Mtu anaweza kumuiba  mwenzake kimapenzi, Mpenzi wako anapotoka kwako na kwenda kwa mwingine ni wazi kwamba kaamua kufanya hivyo, hilo sio kosa lako na wala hujasababisha yeye kwenda huko kwingine bali ni yeye mwenyewe na akili zake timamu kafanya uamuzi huo. Tangu Ushoga ndio khabari/Suala Muhimu wacha na mimi nidaivu ini nipate "trafiki" japo nimechelewa. Tofauti na "platform" nyingine hapa utajifunza kwa kiasi kidogo...au niseme kiasi fulani. Linapokuja suala la Ushoga/Usenge,sehemu kubwa ya Jamii imetawaliwa na  Uoga ambao unapelekea kutokuelewa Ushoga ni nini? Hali hiyo ni Asilia, kwamba mtu anazaliwa hivyo au ni uamuzi  wa mtu au ni Hali inayojitokeza ukubwani baada ya Kubalehe.....pale kijana anapoanza kutambua ujisia wake(je anavutiwa/penda Wanawake au Wanaume au wale wa Jinsi kama yake). Mie sio Mtaalam wa Masuala ya Kisenge/Shoga lakini ni mtu ambae napenda kudadisi, na watu wazuri kuwadadisi ni hao hao