Skip to main content

Mtindo 1-10 with a twist....(requested)!!


Mwenye Kwao haachi Jadi si eti? Sasa wewe(na wenzako) "mmepitilizishwa" na Umarekani sijui Usasa bin Usawa mnasahau mpaka Jadi zenu na Maana yake...sio mnasahau bali humzijui na hivyo unakurupuka tu na kusema "Kutoa Mahali ni sawa na Kuuzwa/Nunuliwa"....Hujambo lakini?



Sasa ni hivi; kuna mitindo Mingi sana na kumfurahisha Mwenza wako wa Kiume kunako Faragha, kama ujuavyo mwaka 2008 niliandika Topic ya Mtindo wa 1-10 na ikiwa hujui basi endelea kusoma ili uweze kujiongezea au kujifunza "kaujuzi".



Mtindo wa  "Moja mpaka Kumi" unafanyika katika Mkao wa Kifo cha Mende Mwanamke juu, Ukishakuwa tayari Bibie weka Mzigo ndani na uingie mpaka Mwisho kisha ujilaze sambamba na Mwili wa Mwenza wako ambae ni Mwanaume(nitatumia Mkibaba kuokoa Muda).



Wakati upo kwenye Mkao huo tumia Misuli yako ya Uke kubana na kuachia a.k.a "Piga endiketa", baada ya hapo njoo juu na rudi chini(piga takoz hihihihi) mara Kumi....kwamba kila ukienda chini ndio unahesabu Moja...endelea mpaka Kumi bila makeke na bila kupumzika ili usisahau Hesabu.



Ukishafika Kumi, rudi juu bila kutoka kabisa, baki pale Kichwani na tumia misuli yako ya Uke kubana na kuachia alafu nenda tena Chini.Juu na sasa hesabu Mpaka 9...rudi juu "tease Kichwa"....rudi chini.Juu tena Mara Nane...cheza na kichwa....nenda Chini-juu Mara Saba....mpaka ufike utakapo fika au Mkibaba kufika Kileleni, kwa maana kwamba sio rahisi kufikia Moja kutokana na wewe au yeye kushindwa kujizuia na "kucheka" katikati ya mahesabu.



Siku nyingine fanya Mtindo 1-10 "with a Twist"

Mkao ni kama nilivyoelezea hapo juu ila sasa badala ya kwenda Chini-Juu moja kwa moja, unaongeza Kiuno, kwamba ukifika Chini(Uume Umejaa ndani)..katakiuno (cha kitandani sio chakucheza Singeli) taratibu huku unarudi juu....nenda tena Chini kwa mara ya Pili na wakati wa kurudi juu zunguusha Kiuno tena...rudia mpaka mmoja wenu atakapofika au  mtakapofika kwa pamoja.


Kama una swali lolote kuhusu Post hii, basi  usisite wala kuogopa kuniuliza. Nathamini na kuheshimu Muda wako mahali hapa na Ahsante kwa kuichagua Blog hii.

Babai.

Comments

Topic hizi tamba...

Weusi wa Kwapa na Vipele Makalioni....

Well Weupe huwa hawawi na weusi kwapani bali Unjano au Ukahawia....wale wenye nywele nyeusi sasa ni another case. Kuhusu Vipele makalioni havina Ubaguzi, raha ya vipele vile ni kwamba havionekani kwa Macho....utajua unavyo kwa kujipapasa, au gusa ngozi yako....inakuwa kama ina "mikwaruzo" wajua ile nanihii ya kupiga Msasa mbao? Yep ndio feels kama hivyo! Usione haya sio Ugonjwa na wala sio Tatizo kiafya, ni mambo ya Urembo tu na yawapata watu mbali mbali Ulimwenguni.....kama urembo sio issue kwako basi baki na Mapele yako na uyafurahie! Mimi nilikuwa nayo na siyapendi na ndio maana nataka nikupe mbinu ya "mapambano" ili uwage na Makalio "smooth"....Sasa hapa nikuambie kuhusu Vipele Makalioni au weusi wa Kwapa?.....Yote? Hamna shida twende in to them*. Vipele: Sijui inasababishwa na nini(sio mtaalam mie) ila nahisi ni kutoijali ngozi ya sehemu hiyo ndio inachangia....huisugui ukioga, huilainishi kwa mafuta, unavaa chupi za Mpira badala ya Pamba, huifanyishi

Kuachisha mtoto Kunyonya!

Heeeeeelp!!! Ka Binti kangu kana Mwaka na Nusu (Miezi18) lakini kamo tu, hata dalili ya kuacha hakana....Mie nimechoka kunyonyesha, nimechoka kuwa Mkubwa hapa Chini ya Kidevu bana! Babuu aliacha mwenyewe ghafla, yaani siku hiyo kaamka tu akagoma kunyonya....Mwanamke bembeleza, lazimisha mtoto wapi!!....alikuwa na Mwaka Moja na Mwezi(Miezi 13) na niliteseka Kihisia na Kimwili kwa Wiki nzima. Kihisia: Haina Uzungu hii, ila nililia sana....kwanini Mwanangu hataki kuwa karibu na mimi? (maana kunyonya kwake kulikuwa kunanipa ukaribu na Mwanangu). Nilipanga kumnyonyesha mpaka Mwaka na nusu (Miezi 18), kwanini Kanigaya(Susa) kabla sijawa tayari?!!! Kimwili: Matiti yanauma bwana asikuambie Mutu! Yalivimba(Jaa maziwa)....the more nakamua ndio yanajaa zaidi.....kamata simu Pigia Mama, Mama akasema "usiyakamue kwani ukikamua mwili wako unahisi mtoto anataka kunyonya zaidi so yanajitengeneza kwa Kasi ya ajabu". Kaongeza: "

Mashoga/Wasenge "wanatuibia" Waume/Wapenzi wetu....

...kwanza kabisa napenda utambue kuwa hakuna Mtu anaweza kumuiba  mwenzake kimapenzi, Mpenzi wako anapotoka kwako na kwenda kwa mwingine ni wazi kwamba kaamua kufanya hivyo, hilo sio kosa lako na wala hujasababisha yeye kwenda huko kwingine bali ni yeye mwenyewe na akili zake timamu kafanya uamuzi huo. Tangu Ushoga ndio khabari/Suala Muhimu wacha na mimi nidaivu ini nipate "trafiki" japo nimechelewa. Tofauti na "platform" nyingine hapa utajifunza kwa kiasi kidogo...au niseme kiasi fulani. Linapokuja suala la Ushoga/Usenge,sehemu kubwa ya Jamii imetawaliwa na  Uoga ambao unapelekea kutokuelewa Ushoga ni nini? Hali hiyo ni Asilia, kwamba mtu anazaliwa hivyo au ni uamuzi  wa mtu au ni Hali inayojitokeza ukubwani baada ya Kubalehe.....pale kijana anapoanza kutambua ujisia wake(je anavutiwa/penda Wanawake au Wanaume au wale wa Jinsi kama yake). Mie sio Mtaalam wa Masuala ya Kisenge/Shoga lakini ni mtu ambae napenda kudadisi, na watu wazuri kuwadadisi ni hao hao