tag:blogger.com,1999:blog-84021429555299331242024-03-05T05:07:10.487+00:00Kila kitu mie....Everything is Me!KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comBlogger301125tag:blogger.com,1999:blog-8402142955529933124.post-45710087411376941022023-11-22T16:45:00.001+00:002023-11-22T16:45:50.649+00:00Diaspora Wives......the long suffering ones wa US, UK and Canada nyie wa Scandinavia, Spain, Italy, Germany, etc hamuolewagi...wait, huwa hamuolewi na Waafrika wenzenu na wengi ni Mama wa nyumbani (natania).Dayaspora wives work several shifts in the cold and spend the money to support their husband's business ventures in Africa. Them ones who want something back home, they want to become somebody KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-8402142955529933124.post-11663401382252142122023-10-05T20:15:00.001+01:002023-10-05T20:15:55.538+01:00Enzi tulitongozwa uchochoroni...Miaka 10 iliyopita mlitongozana kwa texts au kwa sauti baada ya kuona picha, nasikia siku hizi wala hamtongozwi kabisa au nyie ndio mmekuwa watongozaji. Wanawake wamekua wawindaji, watafutaji, wapiganaji....wanaume wanafanya nini? Basi sie "Mid Gen X" a.k.a Xennials a.k.a MillenX (tulizaliwa 1975-85) tulikuwa tunakimbiliwa huku tunaitwa " oyaa mrembo" au "oyaa dada'ke (weka jina la kaka yakoKKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-8402142955529933124.post-82861079584846460332023-09-27T16:48:00.000+01:002023-09-27T16:48:29.057+01:00Asking for money, mmepoteza aibu online?Majuzi nilikuwa nakatiza mitaa ya YouTube nikitafuta best Female TV talk show Bongo Tanzania baada ya kukumbuka enzi nikiwa msichana kulikuwa na kipichi cha wanawake, siku mbuki jina wala Host wake ila Jaquline Ntuyabaliwe (sasa Mrs Mengi) alikuwa mshiriki, ilidumu kama episodes 3 hivi(kila Ijumaa/Jumamosi)..unfortunately sikupata nilichokuwa natafuta ila nikakutana na podcast/KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-8402142955529933124.post-17802709293385957622023-09-23T12:55:00.003+01:002023-09-23T13:26:38.756+01:00Endelea mtongoza Wife...Ni kawaida kwako Mume (na jamii kwa ujumla) kutegemea mkeo afanye kila awezalo kuifanya ndoa kusimama utasema kajioa mwenyewe. Kuna siku nikaamua kugugo matatizo ya Ndoani, kila maelezo niliyoyapata kwa Kiswahili na Kiingereza, mzigo wa kuweka mambo sawa wenye Muungano huo alibebeshwa mke. Hakukua na maelezo ya kutosha ambayo yanamsaidia Mume kutatatua matatizo ya ndoa zaidi ya nini afanye KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-8402142955529933124.post-63253869881095773272023-09-12T11:15:00.006+01:002023-09-12T12:54:14.147+01:00Saikolojia ni Sayansi rahisi, you need to heal......huwa wanamaanisha nini? ku-heal ndio kukoje wakati huna matatizo ya kiafya(kimwili)? Kuna maneno watu wa mitandaoni wanapenda kuyatumia ili kuonekana wajuzi au wana upeo ama wana akili/wasomi(kila mtu anataka kuonekana hivyo), unakuta mtu anajieleeeeeza halafu hakuna anachoelezea, anajazia tu maneno ambayo yana-sound vizuri au kisomi ama yale "clinical" yanayotumiwa zaidi ya KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-8402142955529933124.post-81246760507679320262023-09-04T13:40:00.000+01:002023-09-04T13:40:03.527+01:00Tangu umefunga ndoa, ume-improve... ..Mchezo au upo vile vile? Kwamba ya nini ni-showcase au ujiboreshe wakati umeshampata, ni wako mpaka kifo? Sio sasa ni wangu wacha ni practise nae zaidi na time to time ni showcase niliyofuzu? nayo hapana? Ndoa ikibuma je utaanza kujifunza upya? hehehehe hawa wa siku hizi hawajui kusubiri, yaani hata muda wa ku-show off maujuzi hupewi.....ukitoka na hujalipia meal, KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-8402142955529933124.post-119702342032336582023-08-10T12:50:00.000+01:002023-08-10T12:50:07.496+01:00Imani ya Dini ni Msingi mzuri kulea watoto.... Pamoja na kusema hivyo haina maana kuwa Dini ndio kimbilio
kwasababu ukizidisha huko Dinini pia unaweza kuongeza viungo kwenye matatizo
yako ya akili au kuongezea mengine. Unapokuwa unafuata Imani ya Dini (Traditional
Churches na Uislamu, hao matawi ya ukristo wa kisasa aka MATAPELI mie
siwatambui) inakusaidia kuishi kwa heshima na kufuata princimples zake, unajua
nini chakufanya(KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-8402142955529933124.post-23325844850128367032023-08-04T03:00:00.001+01:002023-08-04T03:00:00.142+01:00Jinsi ya kurudisha Furaha Ndoani 2... Yafuatayo
yatakusaidia kurudisha furaha kwenye Ndoa yenu ikiwa mtashirikiana na
kuyafanyia kazi. Yote haya mmeishawahi kuyaishi hivyo hakuna ugumu/jipya, sema tu
mmezeoana so mnayachukulia kawaida, kwamba hayana "maana/umuhimu" kwa sasa.
-Wote; Acha yaliyopita huko huko yalikopita,
kamwe usiayarudishe tena kwasabau tu unataka kushinda mabishano au unataka
kumkumbusha mwenzio ni KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-8402142955529933124.post-34621104893017152402023-08-02T13:11:00.001+01:002023-08-02T15:44:11.661+01:00Twitter ya Elon na heka heka zake...Ni mwaka na wiki kadhaa tangu Elon Musk alazimishwe na "Mahakama" aichukue Twitter baada ya kutishia kuinunua 2021(for attention) na ni Mwaka Mmoja na Wiki Sita tangu nami niachane na Twitter(nisome kama unajali ). Maisha bila twita yamekua ya kwaida na sijawahi kuhisi kutamani kuchungulia na kusalimia watu wangu ambao huwa nawakumbuka mara kwa mara na kutabasamu KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-8402142955529933124.post-6579877317268217432023-06-28T16:18:00.001+01:002023-06-28T16:22:46.192+01:00Jinsi ya kurudisha furaha kwenye Ndoa yenu!Kumbuka
sababu kuu ya ninyi kuwa pamoja ni mapenzi na sababu ya kufunga Ndoa ni kwavile
mnapendana na mnataka kuishi pamoja kwa furaha. Ulipenda na ukataka kupendwa na
kufurahia Muungano wenu. Sasa kama hiyo ndio sababu kuu, kuna umuhimu gani wa
kuendelea kuishi Maisha ya ndoa wakati hakuna furaha? Utasema Mapenzi,
kwasababu mapenzi hayaishi obviously, jinsi mnavyozidi kuishi pamoja ndivyo
KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-8402142955529933124.post-48709589872864527152023-06-14T12:27:00.002+01:002023-06-14T12:37:33.007+01:00Kufananisha/linganisha relationship... ,,,au yaliyopita si ndwele tugange ya jayo?Ikiwa umetoka Kimataifa (mbali sio nchi za jirani) halafu baadae ukajaribu nyumbani na kubaki huko kimapenzi ili kuepuka kufuta Race ya watu weusi unakuwa na uzoefu tofauti au tuseme kacha ya kupendwa na kujaaliwa na akupendae tofauti kabisa. Ni kama vile mategemeo yako(maisha uliyozoeshwa) yanakuwa hayana nafasi, sometimes unaeza jaribu KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-8402142955529933124.post-59312908667092597542023-06-12T15:00:00.003+01:002023-06-12T15:00:48.639+01:00Mama/Baba wa mtoto wa kwanza, sio wewe wa sasa! Unatambua kuwa ulivyo sasa kama mzazi ni tofauti na ulivyokuwa ulipoanza kuwa Mama/Baba? hasa kama watoto wako wamepishana kiasi fulani kiumri, sio tu ni kwasababu wewe na mumeo/mkeo mmkua bali pia uzoefu wenu kama wazazi unabadilika kuendana na umri wa watoto wenu.Sasa hivi unaongea na mwanao wakubwa kama watu "mzima" wenzako kwa kuwasikiliza, kuwaheshimu na wakati huo huo kuwafunza na KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-8402142955529933124.post-85563874577795452522023-06-08T18:14:00.001+01:002023-06-12T13:23:02.890+01:00Chochote ukijuacho/ulichopitia make money out of it... ...uza uzoefu wako iwe wa mapenzi, magonjwa, uzazi, matatizo ya familia au hata disoders na matatizo ya akili! Mie sikujua kama kuwa home body(which I am) ina jina lake na kuna watu wanatoa "courses" kuwafunza wenzao ambao nao ni introverts(hawapendi watu wala kujichanganya nao kwa zaidi ya lisaa limoja) namna ya kuondokana na hali hiyo. Hakuna mtu anaweza kubadilisha vile ambavyo umeumbwa.KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-8402142955529933124.post-50744545017475033662023-05-22T14:34:00.003+01:002023-05-22T14:34:14.420+01:00Mind your Ughaibuni business... Nakumbuka miaka michache nyuma nilipokuwa Twita alijitokeza Binti mmoja nakuanza kuwaambia watu wa Ughaibuni(Nchi za Ulaya na Marekani) kuachana na Siasa za Tanzania na kufurahia maisha yako "mazuri" popote walipo Ulaya(popote nje ya Afrika)....natabua kua sio kila mtu Ulaya ana maisha mazuri(inategemea sababu yako ya kuishi huko) lakini nakubaliana nae.Wabongo wengi walimkandya/ponda kwa KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-8402142955529933124.post-77423374783681955112023-05-17T08:00:00.001+01:002023-05-18T13:20:53.988+01:00Kila Familia/Ukoo ina mtu huyu... ...Kikao cha familia, hakianzi mpaka Dada/Kaka aje...Kwenye kila familia (hasa kama mpo wengi) huwa kunakuwa na ndugu mmoja ambae anajipa cheo na anataka abaki pale kwa njia na namna yeyote ile. Achana na wale ndugu wakubwa ambao automatically wanapewa "uongozi" na Wazazi...kuna yule mmoja wenu huibuka tu na kuanza kujiona ndio mwenye akili, ndio fashionable, Mfuata maadi, anajua kila kitu KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-8402142955529933124.post-42572701977686317512023-05-08T16:22:00.004+01:002023-05-08T16:22:35.270+01:00Mtoto wa kambo...part 2.Mtoto wa kambo...part 2.Ukiachana na
misukosuko ya txt na simu za mama mtoto, kuna suala la kufanya mapenzi ambalo
wengi huwa hawalizungumzii sababu wanaogopa kuambiwa hawajiamini. Unless wewe
una-elements za kichawi au zile za ukimada ndio utaweza kuwa na a very good sex
life on the daily (kila anapowasiliana na mkimama wake wa awali kabla yako,
unapata mhamko).
Vinginevyo
bana the KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-8402142955529933124.post-28895105259260323012023-05-03T15:13:00.002+01:002023-05-03T15:33:23.601+01:00Mtoto wa kambo(part 1)...Mtoto wa kambo sehemu ya kwanza....Kambo maana
yake nini? Ikiwa mtoto alizaliwa nje au kabla ya ndoa nae anaitwa mtoto wa kambo? au ni kwa wale waliozaliwa ndoani halafu ndoa ikafeli au mzazi mmoja kafariki halafu baba/mama kaoa/olewa tena? Mnaona mlivyo haribu/changanya mambo baada ya kuua umuhimu wa ndoa na kujenga familia? Mtoto kabla na nje ya ndoa (Wanaharamu) huwa KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-8402142955529933124.post-248727800944672212023-04-25T08:00:00.001+01:002023-04-25T08:00:00.153+01:00Jinsi ya kujenga/kuza“character” ya mtoto wako.Jambo wewe,Kulea Watoto
Ughaibuni ambako kuna Kacha tofauti na Kacha tuliokulia nazo inaweza kuwa a bit
confused, hasa kama umetoka zako Afrika (bongo as in Tz ikiwepo) na Kacha ya
U-marekani mweusi. Unazaa Watoto na hujui uwalee katika kacha gani, nap engine unajiuliza
hivi huku ulipo wanao wana kacha yeyote au wafuate kacha ya watu wanaofanana
nao(Weusi wenzao aka Black Culture)? Unasahau kuwa KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-8402142955529933124.post-9111568440235250182023-04-21T09:00:00.001+01:002023-04-21T09:00:00.261+01:00Huge Microphones na yupo youtube...Kero zangu....ndio mnaita podcasts? wameharibu youtube eti, au nimezeeka niachane nayo kama nilivyoiacha twita? Anyways, hujambo? Unaendeleaje na u-pre-menopause?Kama binadamu hakika kuna vitu vinakukera, binafsi nakwerwa na sehemu kubwa ya jamii ya online, hasa mamilionea na wamarekani weusi wanaoijua Afrika na kacha zake zote (nchi 57?) baada ya kwenda Ghana kwa wiki moja wa youtube na mi-microphoneKKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-8402142955529933124.post-78646262675170108322023-04-18T14:05:00.006+01:002023-04-18T14:05:59.326+01:00Kutoa ushauri wa Mapenzi, Ngono na Ndoa...Elimu, Uzoefu na Mazingira vinatosha? Za leo?Muibuko wa
Podcast za wakaka na dada wajuzi wa maisha ya Ndoa zimekuwa nyingi na karibu wote (kutokana
na uchunguzi nilioufanya) hawajawahi kuishi Maisha
ya ndoa, lakini wanashauri wenzao(hasa wanawake) namna ya kuishi na Mume. Bila kutilia maanani kywa kuna tofauti kubwa sana kati ya kuishi na mpenzi na kuishi na mke/Mume.
Binafsi
sidhani kuwa unahitaji Elimu….kwasababu KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-8402142955529933124.post-84205722840227897802023-04-16T17:04:00.001+01:002023-04-16T17:14:26.640+01:00How is life as a mother to a third child (Maisha yakoje kama mama kwa mtoto wa Tatu)? Hello, jambo?Baada ya kichwa cha habari hapo basi umejisema " watu wana watoto 7 na huoni wakitusimulia kuhusu maisha yao", labda hawana muda kama mimi au dada wa kazi ndio anawalea(atakusimulia aliyosimuliwa na dada wa kazi ambae ndio mlezi wa watoto)? achana na hili.Kiujumla maisha kama full time mother kwa watoto 3 chini ya miaka 15 ni magumu kwasababu watoto bado wanakutegemea KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-8402142955529933124.post-5907756491617682772023-03-20T14:21:00.000+00:002023-03-20T14:21:09.566+00:00Mambo 10 kuhusu Ujauzito hakuna mtu atakuambia.... ...isipokuwa mimi!Kumbuka kuwa sehemu kubwa ya haya mambo ni uzoefu wangu binafsi ambao unaweza kukutokea wewe pia, sasa ikikutokea usishangae na kudhani kuna "uchawi" na isipokutokea haina maana kuwa una tatizo.Mimba sio lelemama kama ambavyo baadhi ya watu hasa wa kiafrika wavyojiaminisha. Kila mimba unayoshika ni tofauti(uzoefu tofauti) japokuwa mimba zote zinaongeza uwezekano wa MaradhiKKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-8402142955529933124.post-83717062500734622582023-02-07T10:57:00.001+00:002023-02-07T11:07:31.150+00:00Mambo 7 Mumeo angependa umfanyie, ila......anaogopa kukuambia.Heri ya Mwaka mpya 2023 kwanza, leo google wamenitumia "data" bana, wanasema mwezi wa january kumekuwa na watu Laki nane na Eflu 11(8.11K) wametembelea Blog hii....nikasema Mayooo wane nimezeeka! nilikuwa napata idadi hiyo kwa Siku😅anyways, kama wewe ni mmoja wao basi nasema ahsante sana.Naendeleaje bila twita kwa Miezi 7? Vema kabisa, ahsante kwa kujali. nimegundua kuwa KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-8402142955529933124.post-64028617580068031882022-07-05T15:42:00.001+01:002022-07-05T15:42:38.996+01:00Namna ya Kumshukuru Mumeo bila kusema "Ahsante".Ukiachilia mbali(naipenda hii msemo) kuwa Ahsante ni "common" kitu ambacho kinaondoa uzito na maana yake, pia neno hilo ni rahisi na kila mtu anaweza kuambiwa bila kumaanisha.Mumeo sio mmoja ya hao watu, Mumeo ana umuhimu na uzito tofauti na watu wengine wote Maishani mwako(ukute ni mimi tu ndio nahisi hivyo). Sasa kuanzia leo acha kukimbilia Ahsante kwenye kila jambo analokufanyia kama KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-8402142955529933124.post-22627790204647417032022-06-16T12:45:00.005+01:002023-02-07T11:02:43.609+00:00Kwaheri Social Media(Twita)......hivi YouTube inahesabika kama Sosho Midia? Kama sio basi Platform pekee naiaga kwa sasa ni Twitter. Sijawahi "kujiunga" na Instagram, Snapchat wala Tiktok.Kwanini? Ukiachilia mbali kuwa Muda unabadilisha watu(wanakua), vilevile vitu na mitazamo hubadilika kulingana na Tabia Uchumi/Nchi/Utamaduni....nadhani Twita imejaa wafanya Biashara kwa kupitia Ajenda binafsi/Harakati, Biashara ndogo KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.com0