Skip to main content

Posts

Showing posts from February 8, 2015

Nyerere angekuwepo.....

Tungekuwa mbali kama Taifa sijui Nchi.....yeah in your dreams. Kama haukufika popote alipokuwepo unategemea ungekuwa wapi leo hii(Angekuwa mzee sana anyway)?  Enzi zake kulikuwa na changamoto tofauti na changamoto ulizonazo miaka hii so kill the "Nyerere angekuwepo" na pambana na changamoto zinazokukabili kivyako. Kwenye maisha ya mmoja mmoja bado watu wana ile "mama zetu wasingesamehe baba zetu walipo cheat ndoa zao zisingekuwa za miaka mingi".....well huo ulikuwa ubwege wao Enzi hizo. Halafu urefu wa umri wa ndoa sio kelele zote cha Mapenzi.....Kuna sababu nyingi kwanini watu wana baki kwenye ndoa Chafu na mapenzi au furaha sio moja wapo. Wanawake wa leo sio mabwege kwasababu challenges walizokuwa nazo mama zenu hazipo au hazina muhimu tena kwenye jamii. Challenges zetu ni mpya na ni tofauti kwasababu wengi wetu tumeondoa mavumbi (tume elimika). Ni mazoezi mabaya kurudi nyuma na kuangalia maisha ya watu wa era ile walivyokuwa na kujaribu kufanya kama w