Habari ya leo, Nimeamka naumwa kichwa. Mara mtu abisha mlangoni. Nafungua mlango huku mnyororo umeshikilia kwa usalama wangu.....Mbabu ananiambia yupo na Mbunge na wangependa kuongea nami. Nkasema naumwa kuchwa so sitaki kuongea. Akanambia Uchaguzi utakuwa May 7 je nimepanga kuchagua Chama gani?.....nkamwambia(sisemi hapa kwasababu)......Mbunge akaja mlangoji na kuniambia ahsante kwa support. So alijificha akidhani nina-suport Chama kingine.........back to 40yrs ols me. Fashion bloggers na Vloggers wa miaka 35-40 mpo wapi kwani? Au wote bado ni 28 au 32....unakuwa na miaka hiyo kwa miaka 7 hihihihihi. Sitaki mtu wa 20s au over 40s aniambie natakiwa kuvaaje. Nataka mwenye umri husika au anaekaribia sio nyuma miaka 10 au mbele miaka 10. Unavutiwa na fashion blogger au vlogger halafu anakuja kukwambia anamiaka 27 how annoying? Vaa umri wako kashenzi wacha kuvaa kama mkimama wa 40s. Sio nakaribia 40 kihiiiiivyo ila sio mbaya kujiandaa si eti. Mambo ya kuanza kujipakaza maanti makuny...