Skip to main content

Posts

Showing posts from December 1, 2024

BlogMass Moja, Siri ku-bounce back baada ya Kuzaa...

Mambo? Aah mie pia nimekukumbuka ndio maana nimeamua ku-blog kila siku mpaka siku ya Christmas. Tegemea michapio kadhaa, nita-edit baada ya Xmas.   Now that is out of the way....njoo kwenye Somo la leo ila kama umekuja kujua namna ya kurudia mwili wako baada ya kuzaa, Pole ila usiondoke nataka nikupe siri yake ili ukome kutaka ku-bounce back haraka haraka, sio tu kwamba ni Kacha ya kimagharibi bali pia ni aina ya unyanyasaji wa jinsia kutoka kwa Mumeo. Maisha yangu yote nilikuwa chikonda aka skinny hivyo nilijizoea hivyo na nilijipenda nilivyokuwa. Baada ya kushika Mimba kwa mara ya kwanza nilinenepa na nilipojifungua mwili ukarudia wembamba wake ila nikawa  "shapely", kwamba nikawa na umbile la kike(vitu vikajitenga, nikatokelezea)zaidi. Hiyo ilichukua wiki 2, Mimba ya pili nikanenepa tena na mwili ukarudi ulipokuwa ndani ya miezi 2...baada ya hapo mambo mengi yakatokea kwenye huu mwili(story ndefu na sina muda) then akaja mtoto mwingine, tufanye wa mwisho....huyu sasa i...