Kwa kawaida huwezi kutana na Wanawake(Mkeo) akidai kuheshimiwa mpaka labda Mume utoke nje ya Ndoa ambapo uwezekano wa yeye kubaki Ndoani huwa ni 0.01%(that's me)....Hiyo haina maana kuwa Mkeo haitaji Heshima. Jaribu yafautayo kudhihilisha kuwa unaheshimu mkeo vile anavyo/utakavyo akueshimu wewe. Usimuudhi/Umize: Msome Mkeo ili ujue nini anapenda/hapendi Uwanjani na nje ya Uwanja na ujitahidi kutekeleza/kuacha vitu hivyo. Usimfokee/Karipia: Mkeo sio Mwanao/Mdogo wako bali ni mtu mzima mwenzio hata kama umemzidi miaka kadhaa, ongea nae kwa adabu kama Mwenza wako na sio mtu alie chini yako. Msikilize: Pamoja na kua wewe ni Kichwa na Kiongozi wa Familia haina maana kuwa Mkeo hana Sauti humo ndani. Mkeo ni Mwanadamu na m-treat kama mwanadamu mwenzio ila sio kwa Usawa (kama Mwanaume mwenzio) na sio kwa kiwango cha chini kama vile hana thamani ya Utu. Usilazimishe Itikadi(mf Ushirikina, Imani, Siasa n.k): Usijione kuwa wewe ndio mwenye kutoa Neno la mwisho bila kukuba