Helloooooo!
Napenda kuandika mambo ambayo watu huogopa kuyasema lakini yanawakera...kwanini? Sababu sinywi Pombe hehehehe...!
....Kwa kawaida Ndugu wa mume hupaswa kuwa karibu na wewe (hata kwa ku-pretend) ili ujisikie umekaribishwa kwenye Ukoo eti...kwa Kacha yetu ya Kitanzania.
Mwenyewe unajitahidi kuweka mawasiliano ya karibu....wao walaa(mpaka uwatafute)!
Unajipa moyo labda wanashughuli nyingi na muda hawana, unasubiri siku mbili-miezi mitatu still Jiiiii....hee unaanza kujistukia, unataka kumuambia Mumeo lakini unaona noma.
Maana wengine hawachelewi kukuambia "unataka kutugombanisha, we mwanamke tu....wale ndugu zangu"....so unaugulia Moyoni.
Kujipendekeza mwisho mara 3(in my head), unajaribu kwa Mwaka mzima wao hawajitumi kukutafuta hata XMas to Xmas!
Sina marafiki kwa ajili hiyo(sijui kujipendekeza, najaribu....usipoweka effort nafunga Ukurasa na songa mbele.....
Unajiuliza nani atanizika "nikikufa