Skip to main content

Posts

Showing posts from February, 2015

Kuzaa(naturally) ni kupoteza dignity....

Heroooo! Tangu umezaa kiasili hujahisi hali ya kujiamini zaidi kuonyesha mapaja yako(kama nguo fupi sio zako)? Au huoni big deal kuvaa vyovyote.....unaeza kwenda Sokoni na huku gagilo ljnachungulia au mkanda wa sidiria umeshuka.....pengine na night dress kabisaaaa. Wengi husema mwanamke akizaa anapoteza hali ya kujipenda na kujijali......mie nasema sio kwamba hatujipendi na kujijali isipokuwa tumeacha DIGNITY hospitali baada ya kujichanua na kupiga makelele mbele ya watu baki ili mtoto atoke. Halafu ukizaa nothing seem to matter but your child au children. Unapoteza ile jali ya "mimi"......maisha yako yanakuwa yamefunikwa na watu wengine ambao wanakutegemea wewe ufikirie na kufanya maamuzi kwa ajili yao. Miezi michache ya mwanzo hali huwa mbaya sana lakini hujui wakati huo mpaka uvuke miezi 6 au mwaka hivi baada ya kujifungua hasa mtoto wa kwanza.....kwa uzoefu wangu. Baada ya mpoto unaanza kurudi kama ulivyokuwa japokuwa dignity hairudi......Binafsi napenda kuvaa n

Nakaribia kuwa 40yrs old...

Habari ya leo, Nimeamka naumwa kichwa. Mara mtu abisha mlangoni. Nafungua mlango huku mnyororo umeshikilia kwa usalama wangu.....Mbabu ananiambia yupo na Mbunge na wangependa kuongea nami. Nkasema naumwa kuchwa so sitaki kuongea. Akanambia Uchaguzi utakuwa May 7 je nimepanga kuchagua Chama gani?.....nkamwambia(sisemi hapa kwasababu)......Mbunge akaja mlangoji na kuniambia ahsante kwa support. So alijificha akidhani nina-suport Chama kingine.........back to 40yrs ols me. Fashion bloggers na Vloggers wa miaka 35-40 mpo wapi kwani? Au wote bado ni 28 au 32....unakuwa na miaka hiyo kwa miaka 7 hihihihihi. Sitaki mtu wa 20s au over 40s aniambie natakiwa kuvaaje. Nataka mwenye umri husika au anaekaribia sio nyuma miaka 10 au mbele miaka 10. Unavutiwa na fashion blogger au vlogger  halafu anakuja kukwambia anamiaka 27 how annoying? Vaa umri wako kashenzi wacha kuvaa kama mkimama wa 40s. Sio nakaribia 40 kihiiiiivyo ila sio mbaya kujiandaa si eti. Mambo ya kuanza kujipakaza maanti makunyanzi

Kutenganisha jinsia....

Za watoto wakati wa kuoga au kubadilisha. Siku koja Mwanangu wa kwanza alipokuwa na miaka 3.....well bado ananiaka hiyo, aliuliza "mummy why baby doesnt have ______ like me?"......nkamwambia kwasababu ni binti, mabinti hawana_____(au unataka niseme kwa kiingereza...). Kuanzia siku hiyo siwaogeshi pamoja wala kuwabadilisha nguo wakiwa chumba kimoja. Je unadhani muda gani muafaka kutenganisha watoto Kijinsia linapokuja suala la kuokoa kuwabadilusha pamoja?. Maswali anayouliza babuu kuhusu mwili wake ni magumu sana.....lakini yupo kwenye umri wa kujifunza so hatuna budi kujibu kiuwazi na sio kumkalipia au kumarufuku asiulize maswali kuhusu mwili wake. Siku kauliza kwanini akikojoa Uume unakua....."mummy when i take pee my _____ grows.....but why?" Siku nyingine (nilicheka mpaka nikaanguka chini) katoka mbio chooni eti " i went for a poo but then pee want to come so i stopped"......baba mtu akamwambia sometimes it happens so he shouldnt stop.....kw

Nyerere angekuwepo.....

Tungekuwa mbali kama Taifa sijui Nchi.....yeah in your dreams. Kama haukufika popote alipokuwepo unategemea ungekuwa wapi leo hii(Angekuwa mzee sana anyway)?  Enzi zake kulikuwa na changamoto tofauti na changamoto ulizonazo miaka hii so kill the "Nyerere angekuwepo" na pambana na changamoto zinazokukabili kivyako. Kwenye maisha ya mmoja mmoja bado watu wana ile "mama zetu wasingesamehe baba zetu walipo cheat ndoa zao zisingekuwa za miaka mingi".....well huo ulikuwa ubwege wao Enzi hizo. Halafu urefu wa umri wa ndoa sio kelele zote cha Mapenzi.....Kuna sababu nyingi kwanini watu wana baki kwenye ndoa Chafu na mapenzi au furaha sio moja wapo. Wanawake wa leo sio mabwege kwasababu challenges walizokuwa nazo mama zenu hazipo au hazina muhimu tena kwenye jamii. Challenges zetu ni mpya na ni tofauti kwasababu wengi wetu tumeondoa mavumbi (tume elimika). Ni mazoezi mabaya kurudi nyuma na kuangalia maisha ya watu wa era ile walivyokuwa na kujaribu kufanya kama w