Nikajikuta nashindwa kusoma maandishi au kutambua Sura ya mtu kwenye Tv au popote pale ambapo ni umbali wa hatua 4, sasa naona (Navaa Miwaani baada ya kuikwepa kwa Miaka zaidi ya 15).
Halafu Binti kaacha kunyonya full-time (haombi na wala hadai) hooray...whoop!...whoop!
Sasa siku moja nipo Bafuni najilola(najiangalia) nikaona pale nyuma kati pamekuwa a bit "firm" and more Duara(maana ukizaa matako yanashuka/tepeta kidogo ujue)....nkasema wohooo mazoezi yangu yanalipa!
Kuja kuhamaki....kumbe nimenenepa hihihihihihi(nlijipima kitu kutoka 32inch to 46). Side effects za kuacha kunyonyesha nazo, mxsiii (kama unataka kuzijua zote nitafute nikumwagie mauzoefu).
Na mwisho kabisa Asali wa Moyo anaumwa "Flu"(Homa, body ache, Kikohozi na Mafua).......si unajua wanaume wakiumwa "Flu"...full kudeka hehehehe I mean "hoi" imagine wangekuwa wanazaa the Puuzi kabisa!
Babai.
Mapendo tele kwako...

Comments