Skip to main content

Diaspora Wives...

...the long suffering ones wa US, UK and Canada nyie wa Scandinavia, Spain, Italy, Germany, etc hamuolewagi...wait, huwa hamuolewi na Waafrika wenzenu na wengi ni Mama wa nyumbani (natania).



Dayaspora wives work several shifts in the cold and spend the money to support their husband's business ventures in Africa. Them ones who want something back home, they want to become somebody somewhere kule kwa Motherland. 


Mnakubaliana vema tu kuwa mara 4 kwa mwaka yeye atakuwa anaenda Tanzania au Kenya(depends on their origin) na kukaa huko kwa wiki 2 mpaka mwezi "kusimamia" Mradi/Biashara,  hiyo ni kila baada ya miezi 3.

                                      picha kutoka gazeti la The Telegraph*?


Kwasababu ya yeye kurudi kwao/kwenu mara kwa mara ni wazi kuwa haingizi kipato cha kutosha na hivyo yeye sio breadwinner isipokuwa wewe mkewe. Unajitolea mhanga ukiamini kuwa Mradi ukikamilika utaacha kufanya kazi kwa kiwango ufanyacho na Mumeo kuwa breadwinner, a provider and protected God made him to be...(to another wife in Africa). 


Diaspora wives my dear, your husband is funding another wife somewhere in Afrika where he visit few times a year. If husband goes to Tanzania* know that there is another woman
in there. Huenda mie nina trust issues but  If my husband  want to go to Afrika, Tanzania to be specific(kwa mfano) to "simamia" mradi, I would rather asimamie mbele yangu kwa maana kwamba I, myself, me and the kids will go with him twice a year. Not 4 times a year🙄


Sasa unafanyaje kama wewe tayari ni London (popote ulipo nje ya Afrika) suffering Diaspora wife?

have said  in this Blog years back that no Diaspora wife should give her hard earned money to any man unless the business is in where she and her children lives either in UK, US , Canada etc. If he wants to do that business somewhere in Africa, let him do it all by himself with his own money. Diaspora wives, tambua hao Waume zenu wa "maisha ya sasa ni kusaidiana"  maana yake ni wewe tu ndio u-work your tail off so he can use your money to fund Ua lingine Tanzania.


Mwanaume anaekupenda kwamwe hawezi kukuacha hapo unachakalika halafu yeye anakinga tu mikono kwa kisingizio cha "naendesha miradi Africa", Baba yangu aliwahi kunambia, "mwanaume(Mume) anaekupenda atabeba shida zako na kukupunguzia mzigo ili akili itulie na hivyo kumpa amani".


Hujaumbwa kuhimili stress za kazi kiasi hicho bali Mumeo, wewe  stress zako ni wakati wa Mimba, Uzazi, Elimu na mlezi ya watoto, kama unapenda  kufanya kazi nje ya nyumbani ni sawa ila iwe kwa kiasi kidogo ili kutunza afya ya mwili na akili kwa faida yako na mumeo, Menopause is waiting, na kama uli-abuse sana mwili na akili yako, hali itakuwa mbaya kwako. Umewahi kusikia Mama wa nyumbani anahangaika na premenopausal? Exactly.



I advice you to cut down work hours na mwambie akuze pumbu, asimame kama mwanaume, mume na baba wa watoto wenu na apige kazi. Akipanga kwenda Afrika dadaaa go with him, don't let your African husband(hata kama kabadilisha Uraia bado ni Mwafrika)  use your money to build a house and business for another woman to live in. You work so hard overseas, to entrust it over a deceiving  husband of yours? Hayo mapenzi/ndoa au Utumwa?

Nyie African Muzungu wives najua mna changamoto zenu, your Post is on the way. 😁


Bbai.

Comments

Topic hizi tamba...

Weusi wa Kwapa na Vipele Makalioni....

Well Weupe huwa hawawi na weusi kwapani bali Unjano au Ukahawia....wale wenye nywele nyeusi sasa ni another case. Kuhusu Vipele makalioni havina Ubaguzi, raha ya vipele vile ni kwamba havionekani kwa Macho....utajua unavyo kwa kujipapasa, au gusa ngozi yako....inakuwa kama ina "mikwaruzo" wajua ile nanihii ya kupiga Msasa mbao? Yep ndio feels kama hivyo! Usione haya sio Ugonjwa na wala sio Tatizo kiafya, ni mambo ya Urembo tu na yawapata watu mbali mbali Ulimwenguni.....kama urembo sio issue kwako basi baki na Mapele yako na uyafurahie! Mimi nilikuwa nayo na siyapendi na ndio maana nataka nikupe mbinu ya "mapambano" ili uwage na Makalio "smooth"....Sasa hapa nikuambie kuhusu Vipele Makalioni au weusi wa Kwapa?.....Yote? Hamna shida twende in to them*. Vipele: Sijui inasababishwa na nini(sio mtaalam mie) ila nahisi ni kutoijali ngozi ya sehemu hiyo ndio inachangia....huisugui ukioga, huilainishi kwa mafuta, unavaa chupi za Mpira badala ya Pamba, huifanyishi

Kuachisha mtoto Kunyonya!

Heeeeeelp!!! Ka Binti kangu kana Mwaka na Nusu (Miezi18) lakini kamo tu, hata dalili ya kuacha hakana....Mie nimechoka kunyonyesha, nimechoka kuwa Mkubwa hapa Chini ya Kidevu bana! Babuu aliacha mwenyewe ghafla, yaani siku hiyo kaamka tu akagoma kunyonya....Mwanamke bembeleza, lazimisha mtoto wapi!!....alikuwa na Mwaka Moja na Mwezi(Miezi 13) na niliteseka Kihisia na Kimwili kwa Wiki nzima. Kihisia: Haina Uzungu hii, ila nililia sana....kwanini Mwanangu hataki kuwa karibu na mimi? (maana kunyonya kwake kulikuwa kunanipa ukaribu na Mwanangu). Nilipanga kumnyonyesha mpaka Mwaka na nusu (Miezi 18), kwanini Kanigaya(Susa) kabla sijawa tayari?!!! Kimwili: Matiti yanauma bwana asikuambie Mutu! Yalivimba(Jaa maziwa)....the more nakamua ndio yanajaa zaidi.....kamata simu Pigia Mama, Mama akasema "usiyakamue kwani ukikamua mwili wako unahisi mtoto anataka kunyonya zaidi so yanajitengeneza kwa Kasi ya ajabu". Kaongeza: "

Mashoga/Wasenge "wanatuibia" Waume/Wapenzi wetu....

...kwanza kabisa napenda utambue kuwa hakuna Mtu anaweza kumuiba  mwenzake kimapenzi, Mpenzi wako anapotoka kwako na kwenda kwa mwingine ni wazi kwamba kaamua kufanya hivyo, hilo sio kosa lako na wala hujasababisha yeye kwenda huko kwingine bali ni yeye mwenyewe na akili zake timamu kafanya uamuzi huo. Tangu Ushoga ndio khabari/Suala Muhimu wacha na mimi nidaivu ini nipate "trafiki" japo nimechelewa. Tofauti na "platform" nyingine hapa utajifunza kwa kiasi kidogo...au niseme kiasi fulani. Linapokuja suala la Ushoga/Usenge,sehemu kubwa ya Jamii imetawaliwa na  Uoga ambao unapelekea kutokuelewa Ushoga ni nini? Hali hiyo ni Asilia, kwamba mtu anazaliwa hivyo au ni uamuzi  wa mtu au ni Hali inayojitokeza ukubwani baada ya Kubalehe.....pale kijana anapoanza kutambua ujisia wake(je anavutiwa/penda Wanawake au Wanaume au wale wa Jinsi kama yake). Mie sio Mtaalam wa Masuala ya Kisenge/Shoga lakini ni mtu ambae napenda kudadisi, na watu wazuri kuwadadisi ni hao hao