Wenzetu ambao wamezaliwa na Mzazi mmoja Mwenye asili ya "Nywele kunyooka" wanapenda kutupeleka mbio sana sisi wenye kipilipili.
Hata kama Bibi yake Bibi wa Baba yake ndio alikuwa "nywele kunyooka" na mweupe bado mtu ana-claim yeye ni asili hiyo which is Okay ila msitupeleke mbio sasa eti!
Juzi nimesoma mahali, Binti mmoja anasema anamshukuru Baba yake kwa kutokuoa Mwafrika mwenzie maana angezaliwa mbaya na mwenye nywele mbaya za 4b....anampenda sana mama yake ambae ni Mzungu.
Nkakimbilia ku-google ili nijue maana ya hizi namba na herufi "Nyweleni"....well nilitaka kujua namba ya Nywele zangu, aiiii nadhani ni 5z...the higher the number the Mbayest the hair.
Tunanyoosha nywele sio kwasababu hatuzipendi tulizozaliwa nazo au tunataka kufanana na nyie bali ni kutaka kuzi-manage kiurahisi...
Ni kipilipili cha haja lakini kuna wakati kilikua na kufika katikati ya Mgongo....HAPANA!! am not that short...am 5'4 nadhani Babu mzaa Bibi alikuwa Chotara....hihihihihi!
Kwaheri kwa sasa!
Mapendo tele kwako...

Comments