Siku nimekatiza mahali nkasikia sauti ya Kike kwa Lafudhi ya Kipemba "Bwana Dullah wee panda basi mwenzio nipo hoi".....nkajisemea eh watu na shughuli zao asubuhi-asubuhi.
Wacha mawazo machafu! Bwana Dulla alikuwa Chini ya Ghorofa akitaka Bibie amfuate kwani aogopa panda Lift-ini peke yake!
Sasa Glasgow-Scotigo kama nilivyogusia jana ni Jiji (lililozubaa) lakini linamajengo Marefu mengi kuliko Majiji mengine ndani ya UK.
Pamoja na sifa hiyo wataalam wanadai hayakujengwa vema na mbaya zaidi yana reputation mbaya ya "Komando Yoso" Vijana wakorofi na familia mbazo ni masikini(wanaotegemea Benefit).
Wananchi wakaanza kuzikimbia nyumba za Maghorofani na kukimbia maeneo ambayo kuna majengo hayo Marefu kwa kuhofia "status" zao na kuibiwa au kuuwawa.
Baada ya Muda Serikali(almashauri ya Jiji husika) wakaamua kuyabomoa yale ambayo waliona ni ghali sana kuyatengeneza na Mengine kuyagawa(kuyauza) kwa Mashirika Binafsi ya Nyumba kwa miadi kuwa watayakarabati na kufanya yavutie.
Hakika baadhi yamependeza (mie sikuwepo kabla so sijui)....kwa yale ambayo kulikuwa na Yobs(Komando Yoso) sugu, yalibomolewa na Familia zao zote kuhamishwa miji ya mbali-mbali ili kumaliza Uyoso wao.
Sasa Majengo hayo Marefu yanaanza kurudisha Hadhi yake japokuwa bado wananchi wanasita kwenda kukaa.
Jamii ya wana Architectures...wanasifia sana Mpangilio wa Majengo Marefu uliopo sasa Jijini Glasgow baada ya Baadhi kubomolewa na yaliyobaki kupewa "Cosmetic".
Baadhi ya wananchi waliokulia kwenye Majengo hayo miaka ya 50-70s wanajivunia Historia yake.
Nakubaliana nao! Historia yenye vielelezo asilia na vinavyoshikika ni muhimu kwa Vizazi hata Vizazi.....na Giza likianza kuingia Skyline ya Glasgow inapendeza sana....kukicha unakutana na the Boring Glasgow hihihihihi!
Nimejifunza Mengi kuanzia u-nationality wao(wanaotaka kujitenga), Ukabila, Ubaguzi, Uvivu (eeh bana kuna wavivu kule acha)....ila la Majengo ndilo lililonivutia zaidi ndio maana nime-share na wewe.
Babai.
Mapendo tele kwako...

Comments