Huenda wana account yao Official ambayo inawawepa mahali pazuri KIUSALAMA online.
Nimepokea Email kutoka Bank Kuu ya Tanzania, ikinipa tahadhari kuwa nisipobadilisha "Details" zangu via Link waliyoiweka basi sitoweza ku-Bank Online na Bank yeyote Tanzania!
Nikaenda kwa "sender" nikaona mtumaji ni "blablabla BankOfTanzani@gmail.com".....nkacheeeka halafu nikapachika tusi!
Kwanza mimi siBank na Bank yeyote Tz online, Halafu huwezi tu kuwaambia watu wabadilishe "details" zao via link, kwa sababu za Kiusalama kila mtu angepata taarifa hiyo kwenye account yake ya Online ambapo anaingia kwa kuweka "details" ambazo ni zaidi ya jina lake na Namba ya Card, yaani za "siri" na ni yeye tu ndio huwa nazo na hubadilika kila unapo BankOnline.
....aiiii naona nazungumzia System ya huku na sio ya huko Tanzania ambayo siijui.
Nachojaribu kusema ni hivi;- Kama ilivyo kwenye Kutongozwa kuna Maharage ya Mbeya na Maharage ya Kigoma....Watu tunatofautiana, kuna wale wanao-panic haraka so wataenda na kuweka "details" zao kwa hao Scams!
Halafu kuna akina sie ambao kabla ya yote tunahoji na wepesi kwenda Bank na kuwauliza kulikoni?
Najua kwa Watanzania wengi ku-bank Online ni kama "status" ya kuendelea....ni kama vile watu kukimbilia kuBank na Bank ya Nje (kwa status reasons) badala ya kubank na Local Bank.
Well hata mimi na Bank na Bank ya Marekani na Ya Honk kong sio ya UK.....nadhani bank zote za UK sio za UK, hata (niliambia wakati wa Yes/No reforandamu Kampeni) Royal Bank Of Scotland ni ya Down under.....so naezajitetea SI kwa STATUS reasons.
Babai.
Mapendo tele kwako...

Comments