Freedom of expressing my view? Sijui...
Alikuwa Mwanaume, akaathirika Kisaikolojia kwa kuishi kwenye Mwili wa "mwanaume" wakati yeye anajijua na kuwa ni Mwanamke.
Akaoa na kuzaa ili kuficha "tatizo" lake....akashindwa kuvumilia akawa anaibia Mavazi ya Mkewe na kujiremba mkewe akiwa hayupo nyumbani.
Anapenda urembo na kuvaa kama mwanamke, baada ya Miaka kadhaa akaomba "Shirika la Afya" ku-fund Upasuaji ili abadilishe Maumbile na Jinsia na kuwa complete au legally "Mwanamke" .
Ombili lake likapita kwa "ground" ya Kuathirika Kisaikolojia na asipofanyiwa Upasuaji(kubadilishwa Jinsia) anaweza kuji-harm.....so akanza Tiba ya Homono, baada ya Muda akabadilisha Jinsia na Documents zote zikabadilishwa kutoka Mwanaume kuwa Mwanamke.
Sasa amepata Mpenzi mpya na anampango wa kufunga nae ndoa, Mpenzi huyo ni Mwanamke.
Anadai kuwa anavutiwa sana na wanawake hihihihihiihi which make him a real Man(in my head....mmh naturally)!
Wananchi wanadai Pesa zao(Kodi) zilizotumiwa na Shirika la Afya kumbadilisha Jinsia Mwanaume kuwa Mwanamke.
What a confusion Planet!!! Or I should ask, why complicate your life eiiii! Hii ikitafsiriwa nitashitakiwa kwa Unyanyapaaji dhidi ya Transgenders.
Babai.
Mapendo tele kwako...

Comments