Hellooooo*clear throat*....hi!
Kuna kipindi wana-blog (wapya) walikuwa wanasemwa sana, "kila mtu anaanzisha blog" baadhi ya Blogger wakaacha (mie nakaribia kuicha ile ingine maana.....takuambia siku ingine) hivyo naangukia kwenye "newbes" si ndio!!!
Kipindi naanza ku-blog 2005(kabla sijawa serious 2007), hao hao walikuwa wakilalama kuwa Watu (Wabongo) wapo nyumba, hawa-blog kama wenzao wa MBELE(hasa Wahabari na Watu mashuhuri).
Mara haooooo wote wakawa na Blogs(well baadhi).....kinachoKERA ni kuwa na habari zilezile bila kusema chanzo/Kielelezo.
Mambo ya Beauty, Lifestyle, Fashion and News(kila mtu).
Aaah! Who cares....maisha ya kila mmoja wetu yapo tofauti na interesting in a way hivyo sio mbaya kuongea mwenyewe via Blog kwa matumaini kuwa mtu mmoja atasoma na kucheka au kujifunza.....asa uta-Copy vipi na Ku-paste mtindo wa Maisha na Uzoefu binafsi ya Mtu? Hihihihihihi lione!
Hata hivyo....Mbio zimepungua ila mizunguuko imeongezeka! Hivi nilikuambia Babuu kaanza shule (as if ni muhimu kwako hihihihi) anyway....basi mbio zimegeuka kuwa Mchaka-Mchaka.
Si unajua mizunguuko ya Mchaka-Mchaka? Bora mbio unakimbia mara moja unamaliza....kuliko Mchaka-mchaka.
Tumbe: "Jua lile literemke mama aiyayaya iyaa iyaaa mama"......"Sijui nini na nini Pua kama Kijiko, Midomo kama Bakuli....nini na nini"!
Nikutakie Mwanzo Mwema wa Mwisho wa Wiki.
Babai.
Mapendo tele kwako...

Comments