Hello!
Mambo!
Wadogo zangu wa Kike enzi zile walikuwa wakiniita....wacha ni seme tu bana....najulikana kwetu kama "mchafu" sio kwamba siogi, sishafishi nyumba au kutandika kitanda la hasha!
Nilikuwa nafanya hayo yote in my own time....sio ukiamka tu unakimbilia kuosha vyombo(which I hate) au kupiga deki na kupangusa vumbi incase wageni watakuja....
So nilikuwa na-swap kazi hizo na yeyote mwenye zamu ya Kufua au kunyoosha....nazipenda kwavile zinafanywa baadae....pia napenda kusafisha choo/bafu (huwa nasafisha usiku)....hihihihi.
Asa siku moja mume wa mimi na mimi tulikuwa tunaangalia kipindi kuhusu Hoarders....hee, mkibaba akaniambia wee mwenyewe ni "hoarder" aiiii niliumiaaaa mpaka nikakaribia kulia!
Wacha nianze kubisha(vere mbishi nikiwa na uhakika, tabisha mpaka kesho yake) na kuthibitisha maana ya Hoarders....nikisisitiza kuwa ni Ugonjwa wa Akili.
Kesho yake nikaenda "store" nikakutana na Masanduku na Mabox na humo kuna vitu nilivyotumia kitambo....kuanzia PC-Soksi.
Nia na madhumuni ni kuvipeleka Tz lakini kutokana na u-busy wa "kutengeneza" watoto sikupata nafasi ya kufanya hivyo.
Ukizingatia nyingi zimepitwa na wakati, hata ukiwapelekea Tz wanakucheka umewapelekea vitu vya kishamba maana siku hizi tunaenda sambamba ki-fashion......mmmh nikakubali kuwa kweli mie ni "Hoarder" ila sio kiviiiiile.
Nikakusanya, weka garini, peleka mahali ambapo hutumia "mizigo" kama hiyo kupeleka Afrika na Ulaya Mashariki (wanakulipa kwa Kilo, Ulaya hii hakuna cha bure hata kama ni Fasheni ya enzi).
Najisikia vema sana kuwa na nafasi humu ndani ambayo haina mavitu yangu....Guess who is Hoarder now? Yeye....!!
Nakutakia Mwanzo Mwema wa Mwisho wa Wiki.
Kwaheri kwa sasa.
Mapendo tele kwako...

Comments