Haitaji kuku-support kwenye kila jambo hata kama ni baya! Kama ukikosea atakuambia ukweli hata kama unauma....akiku-support kwenye kila kitu ujue ni MNAFIKI.
Ndio maana Mimi sina Rafiki bali nafahamiana na watu....oh wait! Actually ninarafiki Mfamasia nilikuwa nae Chuo in olden days....labda kwavile ni Mghana so tofauti ya Kacha imefanya Urafiki Udumu.
Sijui wenzangu mlilelewa vipi lakini kukosolewa ni muhimu kama kusifiwa. Ilikuwa unakosolewa kwa kinachokosoleka (ujinga/upuuzi ulioufanya) mbele ya wenzio so that usirudie tena upuuzi wako.
Usiogope kuitwa "double standard" akienda ovyo mpe cheupe ajirekebishe.
Babai...
Mapendo tele kwako...

Comments