Ni Sunna....Relax!
Enyi Wakaguzi wa Lugha Fasihi sijui Fasaha Mtandaoni mnahitaji kwenda kunywa dawa zenu....(Lazima mna some sort of Mental Disorder).
Ailimradi unaelewa kinachozungumziwa au kilichokusudiwa unapaswa kurekebisha kichwani mwako kisha endelea na mambo mengine...
Wengine tunachapa/ongea haraka na muda wa kuanza kuhariri hatuna....Mimi binafsi ni Bingwa wa kuchapia....mara nyingi nikisoma (kesho yake) nagundua kuwa nimechapia lakini bado naeleweka.
Huwa nachapia hata nikiongea na watu japo sio sana, labda maneno mawili kwa siku....aiiii hebu ngoja kwanza....sasa nina watoto which means naongea zaidi....usikute nachapia zaidi ya maneno 10 kwa siku!
Haulipii kusoma na alieandika halipii Kodi kuandika....tulia na furahia uwepo wako Online.
Kumcheka mtu kwa vile nimekosea/chapia is bullying/Trolling.....hihihihihi!
Happy new Week!
Babai...
Mapendo tele kwako...

Comments