Hiyaaaaa!
Umewahi kuzungumzia Sheria za Dini ya Kiislam dhidi ya Wanawake kwa Binti wa "kisasa" wa Kiislamu ukasikia anavyojitetea!....Hadi huruma.
Kuna siku mmoja aliniambia Uislamu hauna budi kubadilika baadhi ya Sheria na kwenda na wakati.....sizungumzii wale Waislamu wa Mwezi wa Ramadhani to Ramadhani....la hasha!
Nazungumzia wale Mabinti ambao wanaipenda na kuifuata Imani yako kwa Dhati lakini wanahisi kuna mambo kwenye Sheria ya Dini yao zinawakandamiza.
Nimekuwa nasikiliza sana Radio za "Kiislam" (za Kikristo miyeyusho,kazi kuomba Michango tu).....napendezwa sana na Mafundisho yao ya Maisha, kitu pekee kinachonikwaza ni pale wanapozungumzia Wanawake....Mwanamke kwenye Imani ya Kiislam bana....daaah!(Naachia hapa).
Radio za Kikristo nazo zimejaa Ushuhuda wa kipuuzi tu yaani....alafu wanaomba Michango kuliko kufundisha wasikilizake wake namna ya kuishi Kikristo.....Maombi ya Michango ya pesa 90%....Shuhuda 7% na 3% Nyimbo....(Usipanic, nimekisia tu hizo asilimia...hihihihi).
Nafaidika na Imani zote kwa kiasi cha kutosha.....
Babai...
Mapendo tele kwako...

Comments