....ambao hatuna watoto!
Kabla sijawa na Watoto sikuwahi kukwazika ikiwa mtu anazungumzia mtoto au watoto wake. Niliona ama chukulia kuwa ni sehemu muhimu ya maisha yao.
Wakati huo nilikuwa nazungumzia mambo ambayo hayahusishi "wazazi" hivyo ni wazi mimi pia nilikuwa nawakwaza wenye watoto (in my head).
Maisha tunayoishi siku hizi "Ulayani" au Ulaya ya hapa nilipo yametawaliwa na "hofu" ya ku-offend (kukwanza) wengine.....imefikia mahali mpaka Sikukuu ya Krismasi inakwaza wasiohusika (mostly Waislamu).
Yaani ule uhuru wa kuzungumza na mtu kisha kuulizia kama anawatoto haupo tena. Ila mie huwa nauliza kwanza kabla sijaanza habari za akina B-I(initials za majina ya wanagu).....wakisema hawana watoto then siwazungumzii wanangu, wakisema wanao hapo inakuwa sherehe.
Suala la watoto linatetewa kwasababu lina umiza hisia za baadhi ya watu ambao kwasababu mbalimbali hawana watoto.
Well, binafsi nimeacha kuzungumzia na kufuatilia Siasa za Dunia, sio mpenzi wa kuzungumzia Celebs, na sipendi kuzungumzia Misha ya watu wengine.
Sehemu kubwa ya Maisha yangu ya sasa yametawaliwa/chukuliwa na Wanangu hivyo sina mengi ya kuzungumzia zaidi ya wanangu ambao wanafanya mengi ambayo sijawahi kuyashuhudia mbele ya Mcho yangu.
Meenda mchukua Babuu kutoka Vidudu,"Development officer" wake akaanza kunipa "ripoti", baada ya maongezi nikauliza kama anamtoto...akaniangalia kwa uchungu kisha akasema "bado sijabarikiwa" akaanza kulia.
Babai
Mapendo tele kwako...

Comments