Skip to main content

Mambo 7 Mumeo angependa umfanyie, ila...

...anaogopa kukuambia.


Heri ya Mwaka mpya 2023 kwanza, leo google wamenitumia "data" bana, wanasema mwezi wa january kumekuwa na watu Laki nane na Eflu 11(8.11K) wametembelea Blog hii....nikasema Mayooo wane nimezeeka! nilikuwa napata idadi hiyo kwa Siku😅anyways, kama wewe ni mmoja wao basi nasema ahsante sana.



Naendeleaje bila twita kwa Miezi 7? Vema kabisa, ahsante kwa kujali. nimegundua kuwa nina Muda mwingi sana wa kufanya mambo mengine muhimu kwa ajili ya afya ya Akili yangu. Ila baada ya kugusa miezi 4 hali ilianza kuwa ngumu nikawa nawakumbuka wote ambao tulikuwa tunabadilishana twiti mara kwa mara nikataka kushusha App, nikapata nguvu za kughaili, nikashida. 



Vipi Mumeo na wanenu 3? Bado tumeshikiliana kwa mapenzi ya dhati, wanetu wanaendelea vema pia shukurani. Sema nini gharama na uhitaji wa kugawa "attention" kwa individual's umri na mahitaji yao Kiakili, Elimu, Malezi na "daily Activities"
yameongezeka hyuuu!! Ila kwenye mambo mengine wanajitegemea so siwezi kulalamika, namshukuru Mungu wamekua. 



Okay then, enough about me....turudi kwenye Somo husika la Mambo saba Mumeo angependa umfanyie ila anaogopa kukuambia......Sasa sio ndio uende kumsuta Mumeo kuwa anakuogopa(hakuogopi ila hataki tu kukuambia sababu anadhani unajua kwa vile wewe ni mwanamke?...sijui), tafuta namna ya kufanya bila kumuona namna gani vipi(usimjaji/shutumu).



Mosi, kuandaliwa kabla ya Tendo(usimzoeshe ila mkumbushe angalau mara 2 kwa mwezi).


Pili, Kumkumbatia kwa nguvu, kumshika-shika kwa nguvu ila sio nguvu sana mpaka aumie(kama vile unavyoshika dudu wakati wa kutoa kazi ya mikono/mdomo), sio kupapasa/tekenya tu kila siku.



Tatu, Sifia Kazi/Shughuli anayoifanya kukusaidia pale anapokuwa nyumbani iwe kubwa au ndogo(hii ni tofauti na kutoa shukurani) sio kumsimamia na  kukosoa kila hatua sababu kafanya tofauti na unavyofanya(ga) wewe. Ni mumeo, sio mwanao.



Nne, Usitumie udhaifu wake au "siri za familia yake alizokuambia kama fimbo kwa  kumkumbusha kila mara mkikwaruzana/pishana/gombana. 


Tano, kumuagiza/omba afanye jambo la Kiume(la kutumia nguvu) ndani/nje ya nyumba ajili yako. 


Sita, utofauti wako na jinsi unavyojibeba kama mwanamke na hiba/haiba? yako ya kike, inamsaidia kujhisi kuwa "balanced", hasa kama Mumeo huyo ana Boss(hawezi kufokewa Kazini na pia afokewe nyumbani na Mkewe)...tunza/lea Uanaume wake


Saba, mnyonye/lamba chuchu wakati unafanya ile mosi...kumbuka kubadili mwendo na upande wa ulimi ili apate "rhythm" tofautinkutokana "texture" mbalimbali za ulimi wako.


Utaniona tena Wiki ijayo panapo Majaaliwa. 

Tataaaa.

Comments

Topic hizi tamba...

Weusi wa Kwapa na Vipele Makalioni....

Well Weupe huwa hawawi na weusi kwapani bali Unjano au Ukahawia....wale wenye nywele nyeusi sasa ni another case. Kuhusu Vipele makalioni havina Ubaguzi, raha ya vipele vile ni kwamba havionekani kwa Macho....utajua unavyo kwa kujipapasa, au gusa ngozi yako....inakuwa kama ina "mikwaruzo" wajua ile nanihii ya kupiga Msasa mbao? Yep ndio feels kama hivyo! Usione haya sio Ugonjwa na wala sio Tatizo kiafya, ni mambo ya Urembo tu na yawapata watu mbali mbali Ulimwenguni.....kama urembo sio issue kwako basi baki na Mapele yako na uyafurahie! Mimi nilikuwa nayo na siyapendi na ndio maana nataka nikupe mbinu ya "mapambano" ili uwage na Makalio "smooth"....Sasa hapa nikuambie kuhusu Vipele Makalioni au weusi wa Kwapa?.....Yote? Hamna shida twende in to them*. Vipele: Sijui inasababishwa na nini(sio mtaalam mie) ila nahisi ni kutoijali ngozi ya sehemu hiyo ndio inachangia....huisugui ukioga, huilainishi kwa mafuta, unavaa chupi za Mpira badala ya Pamba, huifanyishi

Kuachisha mtoto Kunyonya!

Heeeeeelp!!! Ka Binti kangu kana Mwaka na Nusu (Miezi18) lakini kamo tu, hata dalili ya kuacha hakana....Mie nimechoka kunyonyesha, nimechoka kuwa Mkubwa hapa Chini ya Kidevu bana! Babuu aliacha mwenyewe ghafla, yaani siku hiyo kaamka tu akagoma kunyonya....Mwanamke bembeleza, lazimisha mtoto wapi!!....alikuwa na Mwaka Moja na Mwezi(Miezi 13) na niliteseka Kihisia na Kimwili kwa Wiki nzima. Kihisia: Haina Uzungu hii, ila nililia sana....kwanini Mwanangu hataki kuwa karibu na mimi? (maana kunyonya kwake kulikuwa kunanipa ukaribu na Mwanangu). Nilipanga kumnyonyesha mpaka Mwaka na nusu (Miezi 18), kwanini Kanigaya(Susa) kabla sijawa tayari?!!! Kimwili: Matiti yanauma bwana asikuambie Mutu! Yalivimba(Jaa maziwa)....the more nakamua ndio yanajaa zaidi.....kamata simu Pigia Mama, Mama akasema "usiyakamue kwani ukikamua mwili wako unahisi mtoto anataka kunyonya zaidi so yanajitengeneza kwa Kasi ya ajabu". Kaongeza: "

Mashoga/Wasenge "wanatuibia" Waume/Wapenzi wetu....

...kwanza kabisa napenda utambue kuwa hakuna Mtu anaweza kumuiba  mwenzake kimapenzi, Mpenzi wako anapotoka kwako na kwenda kwa mwingine ni wazi kwamba kaamua kufanya hivyo, hilo sio kosa lako na wala hujasababisha yeye kwenda huko kwingine bali ni yeye mwenyewe na akili zake timamu kafanya uamuzi huo. Tangu Ushoga ndio khabari/Suala Muhimu wacha na mimi nidaivu ini nipate "trafiki" japo nimechelewa. Tofauti na "platform" nyingine hapa utajifunza kwa kiasi kidogo...au niseme kiasi fulani. Linapokuja suala la Ushoga/Usenge,sehemu kubwa ya Jamii imetawaliwa na  Uoga ambao unapelekea kutokuelewa Ushoga ni nini? Hali hiyo ni Asilia, kwamba mtu anazaliwa hivyo au ni uamuzi  wa mtu au ni Hali inayojitokeza ukubwani baada ya Kubalehe.....pale kijana anapoanza kutambua ujisia wake(je anavutiwa/penda Wanawake au Wanaume au wale wa Jinsi kama yake). Mie sio Mtaalam wa Masuala ya Kisenge/Shoga lakini ni mtu ambae napenda kudadisi, na watu wazuri kuwadadisi ni hao hao