...anaogopa kukuambia.
Heri ya Mwaka mpya 2023 kwanza, leo google wamenitumia "data" bana, wanasema mwezi wa january kumekuwa na watu Laki nane na Eflu 11(8.11K) wametembelea Blog hii....nikasema Mayooo wane nimezeeka! nilikuwa napata idadi hiyo kwa Siku😅anyways, kama wewe ni mmoja wao basi nasema ahsante sana.
Naendeleaje bila twita kwa Miezi 7? Vema kabisa, ahsante kwa kujali. nimegundua kuwa nina Muda mwingi sana wa kufanya mambo mengine muhimu kwa ajili ya afya ya Akili yangu. Ila baada ya kugusa miezi 4 hali ilianza kuwa ngumu nikawa nawakumbuka wote ambao tulikuwa tunabadilishana twiti mara kwa mara nikataka kushusha App, nikapata nguvu za kughaili, nikashida.
Vipi Mumeo na wanenu 3? Bado tumeshikiliana kwa mapenzi ya dhati, wanetu wanaendelea vema pia shukurani. Sema nini gharama na uhitaji wa kugawa "attention" kwa individual's umri na mahitaji yao Kiakili, Elimu, Malezi na "daily Activities"
yameongezeka hyuuu!! Ila kwenye mambo mengine wanajitegemea so siwezi kulalamika, namshukuru Mungu wamekua.
yameongezeka hyuuu!! Ila kwenye mambo mengine wanajitegemea so siwezi kulalamika, namshukuru Mungu wamekua.
Okay then, enough about me....turudi kwenye Somo husika la Mambo saba Mumeo angependa umfanyie ila anaogopa kukuambia......Sasa sio ndio uende kumsuta Mumeo kuwa anakuogopa(hakuogopi ila hataki tu kukuambia sababu anadhani unajua kwa vile wewe ni mwanamke?...sijui), tafuta namna ya kufanya bila kumuona namna gani vipi(usimjaji/shutumu).
Mosi, kuandaliwa kabla ya Tendo(usimzoeshe ila mkumbushe angalau mara 2 kwa mwezi).
Pili, Kumkumbatia kwa nguvu, kumshika-shika kwa nguvu ila sio nguvu sana mpaka aumie(kama vile unavyoshika dudu wakati wa kutoa kazi ya mikono/mdomo), sio kupapasa/tekenya tu kila siku.
Tatu, Sifia Kazi/Shughuli anayoifanya kukusaidia pale anapokuwa nyumbani iwe kubwa au ndogo(hii ni tofauti na kutoa shukurani) sio kumsimamia na kukosoa kila hatua sababu kafanya tofauti na unavyofanya(ga) wewe. Ni mumeo, sio mwanao.
Nne, Usitumie udhaifu wake au "siri za familia yake alizokuambia kama fimbo kwa kumkumbusha kila mara mkikwaruzana/pishana/gombana.
Tano, kumuagiza/omba afanye jambo la Kiume(la kutumia nguvu) ndani/nje ya nyumba ajili yako.
Sita, utofauti wako na jinsi unavyojibeba kama mwanamke na hiba/haiba? yako ya kike, inamsaidia kujhisi kuwa "balanced", hasa kama Mumeo huyo ana Boss(hawezi kufokewa Kazini na pia afokewe nyumbani na Mkewe)...tunza/lea Uanaume wake.
Saba, mnyonye/lamba chuchu wakati unafanya ile mosi...kumbuka kubadili mwendo na upande wa ulimi ili apate "rhythm" tofautinkutokana "texture" mbalimbali za ulimi wako.
Utaniona tena Wiki ijayo panapo Majaaliwa.
Tataaaa.
Comments