Heri ya Alhamisi....
Katika kupitia Vlogs (nilikuwa nanfanya uchunguzi kuhusu nywele) nikagundua kila chumba au Vanity room (where they film) vinafanana....Nikatafuta ukweli kwanini wote wanafanya hivyo? Nikagundua chanzo ni Kadashianzi.
Mara nikakumbuka watu wa kawaida tu kwenye jamii pia hupenda kuigana kuanzia Nyusi, Fashion mpaka mapambo ya nyumba/ndani....Blogs na Sauti (bwahahahaha)
Najua kwa baadhi ya watu ni muhimu kufuata "trends" na hivyo kufanya kama wanavyofanya wengine.....kama inakupa furaha maishani why not eti?
Dressing table yangu ni ile ya kizamani, kabati upande mmoja, chini na juu droo katikati kioo chenye kijisehemu cha kuweka Manukato, Wanja n.k!...Vanity/Dressing Room? Aii only in Amerika na Kanada (majumba yao makubwa) or Mamilionea wa Bongo na Ulaya....
Tangu nilipokuwa Mdogo nilikuwa sipendi kufanana na watu wengine, si unajua midosho nini na nini....Dar combine...hihihihihi.
Ndani kwangu hakuna Picha ukutani kuna siku mgeni mmoja akasema humu ndani "doesn't feel like home, there is no family photos" nkamwambia "we are the ones who live here, why would we want to look at ourselves on the wall"?
Well, ndani kwetu kupo kama shule ya Chekechea(Toys kila kona)....hihihihihihi!
Kwaheri kwa sasa.
Mapendo tele kwako...

Comments