Jambo weye?
Umewahi kwenda kwa Daktari ili kuongezewa Dawa unazotumia (repeat prescription) Daktari akakubadilishia Dawa akikuambia "hii ni bora zaidi" kuliko hiyo?!!!
Unahofia "side effects" lakini Daktari anakuhakikishia kuwa hakuna baya litakalotokea (niligundua kuwa dawa mpya ni Ghali zaidi kuliko ile ya awali).
Jana natazama Documentary (yeah am that boring) nkajifunza kuwa hawa Madaktari tunaowaamini wakati mwingine wanatupa Dawa kama majaribio bila sisi kujua.
Na wakati mwingine wanakula Deals na Makapuni ya kutengeneza Dawa ili kufanya Dawa husika kuwa popular au kama sehemu ya Uchunguzi.
Ile "kama utapata tatizo lolote tafadhali nipigie simu haraka" hiyo ni report muhimu sana kutoka kwako kuhusu dawa husika.
Ushindani wa kuuza Dawa kwenye Makampuni hayo ni mkubwa sana, imefikia mahali Madaktari wana-creat "Disorders" na kula Deals na Wafamasia ili kutengeneza Dawa "kutibu/tuliza Disorders" husika.
Magonjwa ya akili kweli yapo, lakini sio mengi kama tunavyoaminishwa na "wataalam"....zaidi ni Biashara kati ya Wafamasia na Madaktari wa Magonjwa ya akili.
Usitumie maelezo haya kama kielelezo cha kitaalam, nimesema nilichojifunza kutokana na Documentary niliyotazama jana usiku.
Dunia inatisha sana....oh wameanza hiyo tangu enzi za Utumwa, na kuchapa Watumwa Mijeredi ilikuwa "therapy" sambamba na dozi za madawa zao hihihihihihi.....Wazungu washenzi sana.
Kwaheri kwa sasa.
Mapendo tele kwako...

Comments