Za jioni?
Kabinti kanakua basi sijui ni homono au au kitu gani?!! Khaaaaaaa! Hakajui kuongea basi kila kitu ni "this...this" huku kanasonta (nyooshea kidole) anachokitaka.
Unamvalisha Viatu, anaenda kubeba Viatu vingine anataka umvishe juu ya vile ulivyomvisha mwanzo.....Uanamke shughuli, tena kumbe shughuli huanza mapema hivi! Aiiiii....
Ujue...kunatofauti kati ya Kupenda Fashion na Kujua Fashion. Mimi napenda sana tena sana ila sifuati sheria zake(well sizijui na sina muda), navaa ninavyotaka au kujisikia.
Sasa kwavile tu napenda Fashion hainipi ruhusa au Mamlaka ya kukuambia uvae nini na wakati gani wakati vaa yangu tu inaashiria nahitaji kuambiwa ninayowaambia wengine.
Tangu nimegundua Vlog ayeee nimekuwa addicted, sadly wengi wao ni 20s, which is annoying.
Few days ago....oh kiswanhehee....siku chache zilizopita nikakutana na Vloggers ambao wapo 30s aiii nkajiSubie (subscribe).
Sasa najifunza kuwa stylist.....natania, unajua kale ka hisia (excitement) unayopata baada ya kufanya manunuzi kisha unarudi kwako alafu unaanza kujaribishia nguo ulizonunua?
I miss that....Mara ya mwisho kufanya hivyo ilikuwa 2009....then nkamimbwa...nkazaa....nkamimbika tena...nkazaa. Tulikuwa busy kweli kweli hihihihihi.
Kwaheri kwa sasa!
Mapendo tele kwako...

Comments