Heri ya Wiki Mpya!
Siku hizi wa Nyumbani na wa Nje zimekuwa "jamii" mbili tofauti wakati zamani tulikuwa kitu kimoja ailimradi tu sote tunatoka Nchi mmoja iitwayo Tanzania.
Kuna kama kaushindani au kaubaguzi ka chini kwa chini hivi....well, nilishakuambia kuja Nje siku hizi sio deal labda ndio maana wa nje tunadharauliwa hihihihihi.
Alafu tunajifanya tunajua sana utatuzi wa matatizo yanayojiri nyumbani wakati wengine hatujagusa huko mwaka wa Tano huu....kazi kufananisha tu "Kwa mfano huku blablabla" sort of people.
Pia kuna wale ambao wapo Nyumbani kazi yao kulinganisha pia....wale akina "when I was in London" kind of people...."Hata wenzetu wa Ulaya blablabla" wakati hujawahi kuishi huko au ulikaa si zaidi ya tumiaka 3.
Wote hamna tofauti linapokuja suala la kujifanya mnajua utatuzi wa matatizo yanayojiri Tanzania (hasa kijamii, kisiasa na kiuchumi).
Sie wenye watoto wadogo haturudi moja kwa moja mpaka watoto wakomae(wakue)....Kwabababu immune system ya watoto waliozaliwa Ulaya bana sio strong kama ya watoto waliozaliwa Afrika.
Usikute ile kucheza na kula vumbi, mchanga, udongo, takataka, mavi ya kuku kunasaidia sana kujenga na kuimarisha "difensi" ya mwili dhidi ya maambukizo(in my head).
Mtoto aliezaliwa Afrika anaeza shinda jalalani lakini asiugue, weka toto iliyozaliwa Ulaya jalalani kwa nusu saa uone atakavyo hara na kutapika!
My point is! Maisha popote....acha kujiona wewe ni bora kuliko wengine.
Kwaheri kwa sasa.
Mapendo tele kwako...

Comments