Jana nilikuwa masoma Magazine moja hivi nikakutana na stori ya mdada Mashuhuri kiasi cha kutosha Uingereza.
Alikuwa akizungumzia suala la kuwa Kimada ukitumaini au kuomba kama sio kusubiri Mwanaume unaemuiba amuache mkewe na watoto wake ili mwanaume huyo awe na wewe full time.
Akaongeza....Mume wa mtu alipomtokea kabla hajajua kuwa ni mume wa mtu alimkubali then Jamaa akamwambia ameachana na Mkewe na Talaka itachukua muda kiasi hivyo sio mbaya kama wakilianzisha.
Mkimama akagoma na kumwambia watatoka soon baada ya Talaka kukamilishwa kwasababu hataki kuwa sababu ya kuharibu Maisha ya Mkewe na Watoto wake.
Akagusia kwa kusema....wanaume Wazinzi huanza kukuvuta kingono via mitandao ya kijamii na kuomba uwaambie utawafanyia nini ikiwa utapata nafasi ya kuwa nao.
Kisha huenda na kuponda maisha yao ya kingono na Wake zao kwako.....halafu wakiona upo interested wanaongeza "i wish my wife angekuwa open minded kama wewe"(wakati uliyomwambia ni masuala ya kawaida tu ambayo kila mwanamke anayafanya.).
Umeingia mtegoni ukidhani mjamaa kafika kwako kwani utampa mambo ADIMUUU. Siku ya siku inafika anakuambia "hatuhitaji Condom....nitatolea nje"....unakubali mara kabuumu Mwanaharamu katunga hihihihi samahani Kiswahili kitamu bana na hakina huruma....love child? No ya wazungu waachie Wazungu thank you....ni MWANAHARAMU.
Miaka mitatu imepita yule Jamaa bado yupo na Mkewe na wameongeza Mtoto wa tatu kwenye familia yao.
Nikamkumbuka Binti mmoja aliomba ushauri kwangu ili nimsaidie arudiane na Mpenzi wake ambae ni Mume wa mtu kwani anampenda sana Mume huyo wa mwenzie na hajawahi kumtenda wala kuingilia Ndoa yake.
Got it? Mpenzi wake ni Mume wa mtu lakini hajawahi kuingilia Ndoa yake.
Babai.
Comments
Nilivunjika kabisa uhusiano wangu ulipoisha. Niliamini kweli nimepoteza upendo wa maisha yangu milele. Kisha nikampata Dk. Dawn, na kila kitu kilibadilika.
Kwa fadhili, hekima, na mwongozo wenye nguvu, alinirudishia upendo ambao nilifikiri umetoweka. Leo, tuna furaha zaidi kuliko hapo awali!
Dr. Dawn kweli aligeuza machozi yangu kuwa furaha.
Dk. Dawn Anaweza Kukusaidia Na:
✅ Maneno ya mapenzi
✅ Tahadhari za Ujauzito
✅ Kurejesha Ndoa/Mahusiano
✅ Dawa za mitishamba kwa VVU, Ugonjwa wa Figo, Magonjwa ya Moyo, Maambukizi na mengine mengi.
📧 Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com
📞 Simu/WhatsApp: +2349046229159
Usiteseke kimya kimya. Dk. Dawn anaweza kurudisha furaha katika maisha yako!